sw_jhn_text_reg/06/10.txt

1 line
414 B
Plaintext

\v 10 Yesu akawambia, "Waketisheni watu chini" (kulikuwa na nyasi nyingi mahali pale). Hivyo wanaume wapata elfu tano wakakaa chini. \v 11 Kisha Yesu akachukua ile mikate mitano akashukuru akawawagawia wale waliokuwa wamekaa. Vivyo hivyo akawagawia samaki kwa kadiri ya vile wavyohitaji. \v 12 Watu waliposhiba, aliwambia wanafunzi wake, "Vikusanyeni vipande vya mabaki, vilivyobaki ili kwamba kisipotee chochote."