sw_jhn_text_reg/05/30.txt

1 line
357 B
Plaintext

\v 30 Siwezi kufanya kitu chochote kutoka kwangu mwenyewe. Kama nisikiavyo, ndivyo ninavyo hukumu na hukumu yangu ni ya haki kwa kuwa sitafuti mapenzi yangu, bali mapenzi yake aliyenituma. \v 31 Kama nikijishuhudia mwenyewe, ushuhuda wangu usingelikuwa wa kweli. \v 32 Kuna mwingine anayenishuhudia na ninajua kwa hakika ushuhuda anaonishuhudia ni wa kweli.