sw_jhn_text_reg/05/16.txt

1 line
351 B
Plaintext

\v 16 Hivyo, kwa sababu ya mambo hayo Wayahudi walimtesa Yesu, kwa sababu alifanya mambo haya siku ya Sabato. \v 17 Yesu akawambia, "Baba yangu anafanya kazi hata sasa nami nafanya kazi." \v 18 Kwa sababu hiyo Wayahudi walizidi kumtafuta ili wamuue sio tu kwa sababu ya kuivunja Sabato, bali kwa kumwita Mungu Baba yake, akijifanya kuwa sawa na Mungu.