sw_jhn_text_reg/04/46.txt

1 line
286 B
Plaintext

\v 46 Alikuja tena Kana ya Galilaya huko alikoyabadilisha maji kuwa divai. Palikuwa na ofisa ambaye mwanaye alikuwa ni mgonjwa huko Kapernaumu. \v 47 Aliposikia kuwa Yesu alitoka Yudea na kwenda Galilaya, alienda kwa Yesu na kumsihi atelemke amponye mwanawe, ambaye alikuwa karibu kufa.