sw_jhn_text_reg/04/09.txt

1 line
295 B
Plaintext

\v 9 Yule mwanamke Msamaria akamwambia, "Inakuaje wewe Myahudi, kuniomba mimi mwanamke Msamaria, kitu cha kunywa?" Kwa sababu Wayahudi hawatangamani na Wasamaria. \v 10 Yesu akamjibu, "Kama ungelijua karama ya Mungu, na yule anayekuambia 'Nipe maji, ' ungelimwomba, na angelikupa maji ya uzima."