sw_jhn_text_reg/03/31.txt

1 line
319 B
Plaintext

\v 31 Yeye atokaye juu, yu juu ya yote. Yeye aliye wa ulimwengu anatoka ulimwenguni na huongea mambo ya ki ulimwengu. Yeye atokaye mbinguni yuko juu ya yote. \v 32 Yeye hushuhudia yale aliyoyaona na kuyasikia, lakini hakuna apokeaye ushuhuda wake. \v 33 Yeye aliye pokea ushuhuda wake amehakikisha kuwa Mungu ni mkweli.