sw_jhn_text_reg/03/25.txt

1 line
269 B
Plaintext

\v 25 Kisha palitokea mabishano kati ya wanafunzi wa Yohana na Myahudi kuhusu shughuli za utakaso. \v 26 Wakaenda kwa Yohana wakamwambia, "Rabi, yeye uliyekuwa naye ng'ambo ya Mto Yorodani, yeye uliyeshuhudia habari zake, tazama, anabatiza na wote wanaenda wanamfuata."