sw_jhn_text_reg/03/22.txt

1 line
326 B
Plaintext

\v 22 Baada ya haya, Yesu pamoja na wanafunzi walienda katika nchi ya Yudea. Huko alitumia muda pamoja nao na alikuwa akibatiza. \v 23 Sasa Yohana pia alikuwa akibatiza huko Ainea karibu na Salim maana kulikuwa na maji mengi pale. Watu walikuwa wakija kwake na kubatizwa, \v 24 kwa kuwa Yohana alikuwa hajatupwa gerezani bado.