sw_jhn_text_reg/03/16.txt

1 line
400 B
Plaintext

\v 16 Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, kwamba akamtoa mwanae wa pekee, ili kwamba mtu yeyote amwaminiye asiangamie bali awe na uzima wa milele. \v 17 Kwa sababu Mungu hakumtuma mwanae duniani ili auhukumu ulimwengu, bali kwamba ulimwengu uokolewe katika yeye. \v 18 Amwaminiye Yeye hatahukumiwa. Yeye asiyemwamini tayari ashahukumiwa kwa sababu hajaliamini jina la Mwana pekee wa Mungu.