sw_jhn_text_reg/02/20.txt

1 line
371 B
Plaintext

\v 20 Kisha wakuu wa Wayahudi wakasema, "Ilichukua miaka arobaini na sita kujenga hekalu hili nawe unasema utalijenga kwa siku tatu?" \v 21 Ingawa, yeye aliongea hekalu akimaanisha mwili wake. \v 22 Hivyo baadaye baada ya kufufuka kwake kutoka kwa wafu, wanafunzi wake wakakumbuka kuwa alisema hivyo, wakaamini maandiko na kauli hii ambayo Yesu alikuwa amekwisha kuisema.