sw_jhn_text_reg/02/17.txt

1 line
282 B
Plaintext

\v 17 Wanafunzi wake wakakumbuka kuwa ilikuwa imeandikwa, "Wivu wa nyumba yako utanila." \v 18 Wakuu wa Kiyahudi wakajibu, wakamwambia, Ni ishara ipi utakayoionyesha kwa sababu unayafanya mambo haya?" \v 19 Yesu akawajibu, libomoeni Hekalu hili nami nitalijenga baada ya siku tatu."