sw_jhn_text_reg/02/15.txt

1 line
310 B
Plaintext

\v 15 Yesu akatengeneza mjeledi wenye vifundo, akawatoa wote walikuwemo katika hekalu, ikijumuisha ng'ombe na kondoo. Akamwaga fedha za wabadili fedha na kuzipindua meza zao. \v 16 Kwa wauzaji wa njiwa akawambia, "Toeni vitu hivi mbali na mahali hapa, acheni kuifanya nyumba ya Baba yangu kuwa mahali pa soko."