sw_jhn_text_reg/02/06.txt

1 line
353 B
Plaintext

\v 6 Basi kulikuwa na mitungi sita ya mawe pale iliyowekwa kwa ajili ya kunawa katika sikukuu za Wayahudi, kila moja lilikuwa na ujazo wa nzio mbili tatu. \v 7 Yesu akawambia, "Ijazeni maji mitungi ya mawe." Wakajaza hadi juu. \v 8 Kisha akawambia wale watumishi, "Chukueni kiasi sasa na mpeleke kwa muhudumu mkuu wa meza." Wakafanya kama walivyoagizwa.