sw_jhn_text_reg/01/43.txt

1 line
348 B
Plaintext

\v 43 Siku iliyofuata wakati Yesu alipotaka kuondoka kwenda Galilaya, alimpata Filipo na akamwambia, "Nifuate mimi." \v 44 Filipo alikuwa ni mwenyeji wa Bethsaida, mji wa Andrea na Petro. \v 45 Filipo alimpata Nathanaeli na kumwambia, Tumempata yule ambaye Musa aliandika habari zake katika sheria na Manabii. Yesu mwana wa Yusufu, kutoka Nazareti.