sw_jhn_text_reg/01/40.txt

1 line
341 B
Plaintext

\v 40 Mmoja wa wale wawili waliomsikia Yohana akiongea na kisha kumfuata Yesu alikuwa ni Andrea, ndugu yake Simoni Petro. \v 41 Akamwona ndugu yake Simoni na akamwambia, "Tumempata Masihi" (ambayo inatafsiriwa Kristo). \v 42 Akamleta kwa Yesu. Yesu akamtazama na akasema, "Wewe ni Simoni mwana wa Yohana" utaitwa Kefa," (maana yake 'Petro').