sw_jhn_text_reg/01/37.txt

1 line
379 B
Plaintext

\v 37 Wanafunzi wawili wakamsikia Yohana akisema haya wakamfuata Yesu. \v 38 Hapo Yesu aligeuka na kuwaona wanafunzi wale wakimfuata, na akawauliza, "Mnataka nini?" Wakajibu, "Rabbi, (maana yake 'mwalimu,') Unaishi wapi?" \v 39 Akawambia, "Njooni muone."Kisha walikwenda na kuona mahali alipokuwa akiishi; walikaa pamoja naye siku hiyo, kwa kuwa ilikuwa yapata kama saa kumi hivi