sw_jhn_text_reg/01/14.txt

1 line
344 B
Plaintext

\v 14 Neno alifanyika mwili na akaishi miongoni mwetu.Tumeuona utukufu wake, utukufu kama wa yule na ambaye ndiye tu aliyekuja kutoka kwa Baba,akiwa amejaa neema na kweli. \v 15 Yohana alishuhudia kumhusu, na akapaza sauti akisema, "Huyu ndiye niliyesema habari zake;Yule ajaye baada yangu ni mkuu kuliko mimi, kwa kuwa amekuwako kabla yangu."