\v 4 (Na Pasaka, Sikukuu ya Wayahudi ilikuwa imekaribia). \v 5 Yesu alipoinua macho yake juu na kuona umati mkubwa unakuja kwake, akamwambia Filipo, "Tutakwenda wapi kununua mikate ili hawa waweze kula"? \v 6 (Lakini Yesu aliyasema haya kwa Filipo kwa kumjaribu kwa kuwa yeye mwenyewe alijua atakachofanya).