\v 48 Ndipo Yesu akamwambia, "Ninyi msipoona ishara na maajabu hamtaamini. \v 49 Kiongozi akasema, " Bwana shuka chini kabla mwanangu hajafa." \v 50 Yesu akamwambia, "Nenda mwanao aishi." Yule mtu akaamini neno alilolisema Yesu na akaenda zake.