\v 7 Usishangae kwa sababu nilikuwambia, 'ni lazima kuzaliwa mara ya pili.' \v 8 Upepo huvuma popote upendapo na sauti yake mwaisikia, lakini hamjui utokako wala uendako. Ndivyo ilivyo hali ya kila aliyezaliwa na Roho.