\v 5 Yesu akajibu, "Amini, amini mtu asipozaliwa kwa maji na kwa Roho, hawezi kuingia katika ufalme wa Mungu. \v 6 Kilichozaliwa kwa mwili ni mwili, na kilichozaliwa kwa Roho ni roho.