\v 3 Yesu akamjibu, "Amini, amini, mtu hawezi kuingia katika ufalme wa Mungu asipozaliwa mara ya pili." \v 4 Nikodemo akasema," Mtu anawezaje kuzaliwa akiwa mzee? Hawezi kuingia tumboni mwa mama yake mara ya pili na kuzaliwa, je anaweza?"