\c 3 \v 1 Basi palikuwa na Falisayo mmoja jina lake Nikodemo na kiongozi wa kiyahudi. \v 2 Alimnjia Yesu wakati wa usiku na kumwambia,"Rabi,twajua wewe ni mwalimu atokae kwa Mungu maana hamna mtu yeyote awezaye kufanya ishara hizi uzifanyazo isipokuwa Mungu yu naye"