\v 28 Naye Thomaso akajibu na kumwambia, "Bwana wangu na Mungu wangu." \v 29 Yesu akamwambia, Kwa kuwa umeniona, umeamini. Wamebarikiwa wao wanaoamini, pasipokuona."