\v 21 Kisha wakuu wa makuhani wa Wayahudi wakamwambia Pilato, "Usiandike, 'Mfalme wa Wayahudi; bali yeye alisema mimi ni mfalme wa Wayahudi." \v 22 Naye Pilato akawajibu, "Niliyoandika nimeandika."