\c 19 \v 1 Basi Pilato alimchukua Yesu na kumchalaza. \v 2 Wale maaskari wakasokota miiba na kutengeneza taji,wakaiweka juu ya kichwa cha Yesu na kumvalisha vazi la rangi ya zambarau. \v 3 Wakamjia na kusema, "Wewe mfalme wa Wayahudi! na kisha kumpiga kwa mikono yao.