\v 6 Kwa hiyo alipowaambia, "Mimi ndiye" walirudi kinyume na kuanguka chini. \v 7 Halafu akawauliza tena, "Ni nani mnayemtafuta? Nao wakamjibu tena "Yesu mnazareth."