\v 15 Siwaombei kwamba uwatoe ulimwenguni bali uwalinde na yule mwovu. \v 16 Wao si wa dunia kama vile mimi nisivyokuwa wa ulimwenguni. \v 17 Uwaweke wakfu kwako mwenyewe katika Kweli; neno lako ndiyo kweli.