\v 15 Vitu vyote alivyonavyo Baba ni vyangu; kwa hiyo, nimesema kwamba Roho atachukua mambo yangu na atayadhihirisha kwenu. \v 16 Bado muda mfupi, hamtaniona tena; na baada ya muda mfupi tena, mtaniona."