\v 8 Katika hili baba yangu ametukuzwa, kwamba mnazaa matunda mengi na kwa hili mwadhihilisha kwamba ni wanafunzi wangu. \v 9 Kama Baba yangu alivyonipenda mimi, mimi pia nimewapenda ninyi; dumuni katika pendo langu.