\v 3 Ninyi tayari mmekuwa safi kwa sababu ya ujumbe ambao nimekwisha waambia. \v 4 Mkae ndani yangu, na mimi ndani yenu. Kama tawi lisivyoweza kuzaa peke yake lisipo kuwa katika mzabibu,hivyohivyo nanyi isipokuwa tu,mkae ndani yangu.