\v 30 \v 31 \30 Sitaongea nanyi maneno mengi,kwa kuwa mkuu wa dunia hii anakuja.Yeye hana nguvu juu yangu,\31 lakini ili kwamba ulimwengu upate kujua kwamba nampenda Baba,nafanya ambacho Baba ananiagiza mimi.Inukeni,na tutoke mahali hapa.