\v 21 Wakati Yesu aliposema haya, alisumbuka rohoni, alishuhudia na kusema, "Amini, amini, nawambia kwamba mmoja wenu atanisaliti." \v 22 Wanafunzi wake wakatazamana, wakishangaa ni kwa ajili ya nani alizungumza.