\v 39 Ndio sababu wao hawakuamini, maana Isaya alisema tena, \v 40 "Amewapofusha macho, na ameifanya mioyo yao migumu; wasije wakaona kwa macho yao na wakafahamu kwa mioyo yao, na wakageuka nami nikawaponya."