\v 32 Nami nikiinuliwa juu ya nchi, nitawavuta wote kwangu." \v 33 Aliyanena hayo akionyesha ni mauti gani atakayokufa.