\v 23 Yesu akawajibu akasema, "Saa imefika kwa Mwana wa Adamu kutukuzwa. \v 24 Amini, amini, nawaambia, chembe ya ngano isipoanguka katika nchi ikafa, hukaa hali iyo hiyo peke yake; bali ikifa, itazaa mazao mengi.