\v 14 Yesu alimpata mwana-punda akampanda; kama vile ilivyoandikwa, \v 15 "Usiogope, binti Sayuni; tazama, Mfalme wako anakuja, amepanda mwana-punda."