\v 7 Yesu alisema, "Mwache aweke alicho nacho kwa ajili ya siku ya maziko yangu. \v 8 Maskini mtakuwa nao siku zote; lakini hamtakuwa nami siku zote."