\v 33 Yesu alipomuona analia, na Wayahudi waliokuja pamoja naye wakilia pia, aliomboleza katika roho na kufadhaika; \v 34 akasema, "Mmemlaza wapi? wakamwambia, Bwana, njoo utazame." \v 35 Yesu akalia.