\v 15 Nina furaha kwa ajili yenu, kwamba sikuwepo kule ili kwamba mpate kuamini. Twendeni kwake." \v 16 Basi Tomaso, aliyeitwa Pacha, aliwaambia wanafunzi wenzake, "Nasi twendeni pia tukafe pamoja na Yesu."