\v 5 ikawaYesu alimpenda Martha na dada yake na Lazaro. \v 6 Aliposikia kuwa Lazaro ni mgonjwa, Yesu alikaa siku mbili zaidi mahali alipokuwa. \v 7 Ndipo baada ya hili aliwaambia wanafunzi wake, "Twendeni Yudea tena."