\v 25 Yesu akawajibu, "Nimekwisha waambia lakini hamuamini. Kazi nizifanyazo kwa jina la Baba yangu, hizo zinashuhudia juu yangu. \v 26 Hata hivyo hamuamini kwa sababu ninyi si kondoo wangu.