\v 5 Hawatamfuata mgeni lakini badala yake watamuepuka, kwa sababu hawaijui sauti ya wageni." \v 6 Yesu alisema mfano huu kwao, lakini hawakuyaelewa mambo haya ambayo alikuwa akisema kwao.