\c 10 \v 1 Amin, Amini nawaambieni, yule asiyeingia kwa kupitia mlango wa zizi la kondoo, lakini anapanda kwa njia nyingine, mtu huyo ni mwizi na mnyang'anyi. \v 2 Yeye aingiaye mlangoni ndiye mchungaji wa kondoo.