\v 28 Walimtukana na kusema, "Wewe ni mwanafunzi wake, lakini sisi ni wanafunzi wa Musa. \v 29 Tunajua kwamba Mungu alinena na Musa, lakini kwa huyu mtu, hatujui kule atokako."