\v 26 Ndipo walipomwambia, "Amekufanyia nini? Aliyafumbuaje macho yako?" \v 27 Alijibu, "Nimekwishawaambia tayari, na nyinyi hamkusikiliza! Kwa nini mnataka kusikia tena? Nanyi hamtaki kuwa wanafunzi wake pia, sivyo?