\v 6 Baada ya Yesu kusema maneno haya, alitema mate kwenye ardhi, alifanya tope, na akampaka yule mtu lile tope machoni. \v 7 Akamwambia, nenda kaoge katika kisima cha Siloam (Inayotafsiriwa kama 'aliyetumwa')." Kwa hiyo huyo mtu alienda, akanawa, na akarudi, anaona.