\v 48 Wayahudi wakamjibu na kumwambia, hatujasema kweli kuwa wewe ni Msamaria na una pepo?" \v 49 Yesu akajibu, sina pepo; lakini namheshimu Baba yangu, nanyi hamniheshimu.