\v 17 Ndiyo, na katika sheria yenu imeandikwa kwamba ushuhuda wa watu wawili ni kweli. \v 18 Mimi ndiye ninayejishuhudia, na Baba aliyenituma ananishuhudia."