\v 7 (Zingatia: Angalia ufafanuzi wa Yohana 7: 53 - 8: 11 hapo juu). Walipoendelea kumwuliza maswali alisimama na kuwaambia, "Yeye asiyekuwa na dhambi miongoni mwenu, awe wa kwanza kumpiga mawe." \v 8 Akainama tena chini, akaandika katika mchanga kwa kidole chake.